Kweli toka wa introduce story ya wale wanao muabudu kama prophet wao series imeshift kwa wale WLF na hao scar na tour ya seattle😁😁Guys, is it me au? the last of us season 2 ukiacha zile episodes 2 za mwanzoni hizi zingine naona kama wanazingua, yaani siioni ile aggressive ya Ellie kwenye kusaka revenge, naona amebadilishwa amekua comedy, pia hiyo safari yao ya kwenda kurevenge yaan sijui imekaaje kaaje naona kama wameenda kutalii baada ya kua bored kwa muda mrefu😂 yaani kama hii episode 5 sijaona mzuka wowote
Wanazingua sana yaaniKweli toka wa introduce story ya wale wanao muabudu kama prophet wao series imeshift kwa wale WLF na hao scar na tour ya seattle😁😁
Wanafata story ya game lake kwanza ila series ingekuwa tamu wangebadili story kidogoGuys, is it me au? the last of us season 2 ukiacha zile episodes 2 za mwanzoni hizi zingine naona kama wanazingua, yaani siioni ile aggressive ya Ellie kwenye kusaka revenge, naona amebadilishwa amekua comedy, pia hiyo safari yao ya kwenda kurevenge yaan sijui imekaaje kaaje naona kama wameenda kutalii baada ya kua bored kwa muda mrefu😂 yaani kama hii episode 5 sijaona mzuka wowote
Dah nahisi kama trailer imetupatia full movie. Mambo haya niliyamisi sana. Halafu anatokea mtu alizoea mapanga ya kijapani kichina na kikorea anasema humo hakuna KIPONDO.
Maza amesikia mume anasema I left my phone ... Akafahamu tayariiii kna watu wanaenda kuumia 😁😁😁
Fubar
Bado mkuuWewe uliipata?
Kuna mwana alimchokoza mwanaeMaza amesikia mume anasema I left my phone ... Akafahamu tayariiii kna watu wanaenda kuumia 😁😁😁
Hakujua kumbe anazagamua matatizoKuna mwana alimchokoza mwanae
Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kupost picha au kuna mwingine anapata shida hii.
Update hiyo browser yakoHivi ni mimi tu ndio nashindwa kupost picha au kuna mwingine anapata shida hii.
IkojeYour friends and neighbors
Hii series ni nzuri