Series (Special thread)

Series (Special thread)

Huyu demu amejibadilisha jinsia sasahivi ni mwanaume yupo kwenye " THE UMBRELLA ACADEMY
 

Attachments

  • 20250507_193405.jpg
    20250507_193405.jpg
    142.2 KB · Views: 17
Kwanza episode 6 ikiachiwa unijuze maana nimejikuta natafuna episodes zote 5 na kujikuta nimewafikia nyie mliokuwa mnaenda na episode mojamoja

Pili nadhani bianca alichukiwa na wengi. Kwa sababu kila aliyeipenda ile series hakujali kama the jackal anafanya mauaji au lah. Mtazamaji yeye alicho jali ni kutamani jackal amalize misheni zake. So isingekuwa rahisi Bianca kupendwa regardless anafanya kazi yake ya kipolisi au yupo kwenye haki.

Tatu

Mi namchukia EDDY kwa sababu ni kichwa ngumu. Haelewi ni position ngumu kiasi gani kaiweka familia yake. Jambo linalosababisha HARRY ajikute kwenye hekaheka zisizo na ulazima.

Anyway hizi ni muvi na series tu. Tusichukulie serious saaaaanaa 😁😁
Tushatafuna episode 6 mkuu
 
Nimemalizana na YOU ile plot twist ya Mr Goldberg na Rhys imenichanganya sana kiupande wangu imekua na discrepancies ambazo zimenifanya nimeshindwa kuburudika inavyostahili kwenye season 5.
Imebidi baadhi ya episodes za season 5 niziluke hasa za mwishoni maana zilikua very predictable but all things considered it was worth it.
Nasubiri Mobland ikamilike nianze nayo kwa sasa ngoja niruke na This city is ours.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom