Animation hata iweje siwezi kuangalia si enjoy kuangalia katuni at all but Asante sana kwa recommend yako ya series ulionipa inaonesha ni nzuri kwa kuangalia tu coverYou are missing out Brother.
Ulimwengu wa anime/animated series una plot na story zinazofikirisha na kuburudisha ajabu.
Kama unaweza kutazama TV series kama Game of Thrones kwanini ushindwe kutazama anime/animated series?
Hata mimi kitambo sana niliwahi kuwa na mindset inayoniambia kuwa anime/animated series sio vitu serious, ila nikajiuliza kama naweza kusoma fiction books na kuangalia fantasy movies/series kwanini nishindwe kuangalia anime/animated series. Nilianzaga na Avatar: The last Airbender, eeeh bwana eeeh baada ya hapo...
Nisikuchoshe, kula kigongo hiki 👇👇👇👇
The Haunting of Hill House
View attachment 3322358
Animesheni kwa ajili ya watoto na watu wanao balehe. Na some of wanachuo/ a.k.a wa kusoma.Animation hata iweje siwezi kuangalia si enjoy kuangalia katuni at all but Asante sana kwa recommend yako ya series ulionipa inaonesha ni nzuri kwa kuangalia tu cover
Ushaharibu mchezo ulipoweka the last of us, sasa asilimia kubwa watachagua the last of us kasoro Mr Q 😁😁😁
You are welcome!Animation hata iweje siwezi kuangalia si enjoy kuangalia katuni at all but Asante sana kwa recommend yako ya series ulionipa inaonesha ni nzuri kwa kuangalia tu cover
animation series ya Inside job unaipata mkuu, kama unaijua naulizia kama huwa ina season 3 maana me nna season 1 na 2You are welcome!
Kuna animation Moja hivi ya kijapani niliwaekea wanangu wacheki kumbe ilikuwa pilau aisee nilizifuta chapuanimation series ya Inside job unaipata mkuu, kama unaijua naulizia kama huwa ina season 3 maana me nna season 1 na 2
Hii bado sijaitazama, ila nimesearch inaonekana ina season 2 tu, ni sitcom hii mkongwe, kama Rick and Morty.animation series ya Inside job unaipata mkuu, kama unaijua naulizia kama huwa ina season 3 maana me nna season 1 na 2
Ni nzuri hasa kama ni mtu wa conspiracy theory, zimewekwa humo kwa mtindo wa kuchekeshaHii bado sijaitazama, ila nimesearch inaonekana ina season 2 tu, ni sitcom hii mkongwe, kama Rick and Morty.
Nashukuru kwa kunipa kigongo cha kuangalia siku za mbeleni, nimesoma plot yake, imenivutia inaonekana ni kigongo kikali.
😅😅😅😅 hata Mark Wahlberg pia alishawahi kusema aliwawekea wanae wangalie Family guy akijua ni kama cartoon za kawaidaKuna animation Moja hivi ya kijapani niliwaekea wanangu wacheki kumbe ilikuwa pilau aisee nilizifuta chapu
Urudi kutupa mrejesho tusije choma data zetu, 😁Nimeangalia trailer yake naona inanivutia niichukue
Sawasawa 😁😁Urudi kutupa mrejesho tusije choma data zetu, 😁
Episode ipi yupo mbona sijamuona🤔Wakonge mnamkumbuka huyu?View attachment 3320358
Kipindi hicho anaigiza Home Alone alikuwa na miaka 36, hiyo ni mwaka 1990.
Sasa hivi yupo kwenye The Last of Us akiwa na miaka 71.
Vile vyuma vyako mbona sikuhizi huleti humu?Episode ipi yupo mbona sijamuona🤔
Alafu Wahindi hao 😃Jewel thief vipi nichome MB?
Mkuu sikuhizi nimekuwa mzito mnoVile vyuma vyako mbona sikuhizi huleti humu?
Hii nitapita nayo napenda series za namna hiiTwo mob families clash in a war that threatens to topple empires and lives
Episode ya kwanza tu anaonekana. Humo amecheza kama psychotherapist wakati Joel alipomtembeleaEpisode ipi yupo mbona sijamuona🤔
Ni nzuri mkuu ina story nzuri inaweza kuwa inachosha baadhi ya episode lakini in ovarall story yake ni nzuri ila kama unapenda series za pace, mtiti kila wakati, utakuwa dissapointedHivi paradise imetulia? Nimecheka episode ya kwanza tu kama imenichosha