buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Na bado anaonekana analika vizuri tuπWakonge mnamkumbuka huyu?View attachment 3320358
Kipindi hicho anaigiza Home Alone alikuwa na miaka 36, hiyo ni mwaka 1990.
Sasa hivi yupo kwenye The Last of Us akiwa na miaka 71.
Nimeangalia trailer yake naona inanivutia niichukueWanaisifia huko mitandaoni
Two mob families clash in a war that threatens to topple empires and livesInahusu nini Mobland hua naiona naipita
Jewel thief vipi nichome MB?View attachment 3321932
The Official Home of YIFY Movies Torrent Download - YTS
The official YTS YIFY Movies Torrents website. Download free yify movies torrents in 720p, 1080p and 3D quality. The fastest downloads at the smallest size.yts.mx
Mbona nimeshasema PLOT TWIST ZA KIBOYA ndio sababu au haukusoma maandishi yote niliyoandika?Mchongo upoteze mvuto kwa nan sasaπ
Nimeelezea kwanini Vince, tackle hoja zangu mkongwe!Sio kweli
Kijana unajua kuchambua vizuri naomba unipe series Kali ya kuichekiMbona nimeshasema PLOT TWIST ZA KIBOYA ndio sababu au haukusoma maandishi yote niliyoandika?
Poa, ngoja nikuambie kwanini ninaona mchongo umepoteza mvuto.
Lakini zingatia huu ni mtazamo wangu binafsi chief, kwangu mimi season 2 ya huu mchongo imekuja kuvuruga motion nzima ya series:
1. Sean kutoka kuwa muhuni katili hadi kuwa pussy ni plot twist ya kiboya, bora wasingemrudisha kwenye season 2, baada ya kupigwa ile shaba ingebakia tu kuwa mwamba amedanja.
2. Yule Bi Mkubwa wake Sean kuungana na maadui kuangamiza familia yake kwangu mimi ni plot twist ya kiboya, hivi alikuwa anapigania nini kiasi kwamba alikuwa yupo tayari kupoteza vijana wake wawili wa kiume?
3. Asif na Lale kuungana ni plot twist ya kulazimisha, haimake sense, kama umefuatilia vyema season 1 basi utakuwa unajua kuwa uadui wa hao watu wawili upoje.
Ningeendelea, ila nitakuchosha tu.
Pia mkongwe, sisi watu wengine tukicheki series huwa tunafuatilia mtiririko wa matukio yote, huwa sipeleki mbele ili kuangalia scene ambayo shaba zinapigwa au mikono inachapwa, huwa nacheki mchongo kutoka sekunde ya kwanza mpaka ya mwisho, hivyo ikitokea nimekutana na plot twist isiyokuwa na mashiko ndani yake mzuka huwa unakata, haijalishi series ina action kiasi gani.
Death NoteKijana unajua kuchambua vizuri naomba unipe series Kali ya kuicheki
Mimi sipendi animation nitajie serious seriesDeath Note
View attachment 3322052
Ni mbovu mno usithubutuJewel thief vipi nichome MB?
Sishangai, mimi napenda sana Historical movies hunitoi hapoViking moja ya series ambayo sidhani kama nitakuja kuangalia hata trailer yake. Series za hivyo sio ladha yangu kabisa
Sikusoma chochote, mimi niliishusha kama ilivyo πInamaana hata plot yake hukusoma kama uliipenda VIKING nenda kaangalia VIKING:VALHALA story yake ni miaka 100 baada ya ragnar kufa
You are missing out Brother.Mimi sipendi animation nitajie serious series
Mr Q ukiona mpaka Vincenzo anakuambia ujue ni mbovu iliyopitiliza sio kawaida yakeNi mbovu mno usithubutu