Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,765
6. subtitlecat.comLeo ndo Ile siku tunazicheki zile site za kupata subtitles yaani humu haukosi subtitles ndugu yangu
Cc Mr Q dosho12 Carleen if cap fits Nomadix
1.https://www.opensubtitles.org/en/search/subs
2.https://www.moviesubtitles.org/
3.http://www.moviesubtitles.net/
4.https://subdl.com/
5.https://www.srtfiles.com/
Pamoja sana mkuu
Ongeza na hii, na ndiyo my very fav..!!Leo ndo Ile siku tunazicheki zile site za kupata subtitles yaani humu haukosi subtitles ndugu yangu
Cc Mr Q dosho12 Carleen if cap fits Nomadix
1.https://www.opensubtitles.org/en/search/subs
2.https://www.moviesubtitles.org/
3.http://www.moviesubtitles.net/
4.https://subdl.com/
5.https://www.srtfiles.com/
Pamoja sana mwanangu π π
Vin unatutia majaribuni unaweka picha ya mtoto mzuri alafu juu title ya sinners tena, unamaanisha tuwe makini tunapoangalia picha tusiwe na mawazo mabaya kichwani auπππ
ππππHuyo mchumba yupo kwenye sinners kakaππVin unatutia majaribuni unaweka picha ya mtoto mzuri alafu juu title ya sinners tena, unamaanisha tuwe makini tunapoangalia picha tusiwe na mawazo mabaya kichwani auπππ
Me nikajua mtego huoππππHuyo mchumba yupo kwenye sinners kakaππ
ππππWatoto wapo kama asali hawa na Kuna kile ki blaki cha kwenye behind her eyesMe nikajua mtego huo
Louise nahisi jina lake,ππππWatoto wapo kama asali hawa na Kuna kile ki blaki cha kwenye behind her eyes
Ile rangi yake na jinsi alivyo nilivyo muona mnara ulisoma 5GLouise nahisi jina lake,
πππmnara ulisoma 5G
Imekaa kama documentary?WARFARE wametunyima mapigano yale ya vita ni vita muraaa, labda sababu ni true story. Kama una movie za kufatilia hii achana nayo
Yeah man, haina taste za kibabeImekaa kama documentary?
Hijack season 2 ama ile si ishaisha ya idriss elbaNothing beats mfumo wa kuachia episodes zote. Alicho nifanya the day of the jackal na Hijack, sitaki kuangalia episode mojamoja. Bora angalau zifike tano ndio nianze kuangalia.
Thats why mobland nimeiacha kwanza isogee na kwa sasa naendelea na Dare devil nikimaliza naenda gangs of london na kisha nimalize na true detectives, sherlock, slow horses ambazo zote zimekamilika.
Hiyohiyo ya idriss. Wakati inatoka nilikuwa naruka na episode mojamoja.Hijack season 2 ama ile si ishaisha ya idriss elba
ππππππππHzo gb 50 ndugu yanguπππ hapo ni mtihani