Series (Special thread)

Series (Special thread)

jamaa anakiri kufanya mauji ambayo hakuyafanya ili wasimshtukie kwa aliyoyafanya thats Genius. 🫡🫡🫡
Ila kibongo bongo sio wazo zuri maana ukishakiri mapolisi wa huku ni wavivu hawafanyi tena uchunguzi utafia jela 😆😆😆😆
Mwisho wa siku aliangukia kwenye mtego unaitwa KUMWAMINI MTU KUPITILIZA.

kajikuta anaongea yoote
 
Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.

hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
Hizi ndio aina zangu za series napenda story bila kujali ina ngumi au lah! Ndio maana nikawambieni ifuatilieni Kuna series ni Kali lakini hazipewi nafasi. Tafuta na hii lakini ni movie inaitwa "Soulmate" ni ya 2023 ni Kali sana
 
😄😃😃
Huyu Molly kwenye Fargo japo sihusudu vibonge ila kanikosha


IMG_2645.jpeg
 
Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.

hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
Hii mali safi mkongwe!
Hivi hivi vyuma umewahi kuvicheki!?
MV5BYjgwYzA1NWMtNDYyZi00ZGQyLWI5NTktMDYwZjE2OTIwZWEwXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
HBL_Complete_Series_Poster.jpg
 
Hivi sijawahi ngoja nifuatilie
Nakuambiaje, HAUTOJUTIA!

Anza na hicho chuma cha True Detective, shusha season 1 tu kwanza, why?
Hadi leo bado natafakari kuendelea na season 2. Kwanini?
Nahofia kuwa disappointed, season 1 inajitegemea kwa kila kitu, kuanzia characters mpaka story. Ila pamoja na kwamba nimecheki season 1 tu, kwenye rank ya series kali nilizowahi kuzicheki ipo tano bora. True Detective season 1 ni kazi ya maana sana.

Huo mzigo wa Hannibal shusha wote mzee, ni cheche humo ndani.
FBI wanaingia choo cha vibwengo kwa kujikuta wanamuamini na kufanya kazi na Serial Killer ambaye anakula nyama za watu.
 
Vyuma vyangu 5 vya series vikali kuwahi kuvitazama tangu nipate kujua tofauti ya series na movies:

1. BREAKING BAD 👑
Hii kama kungekuwa na mashindano ya series kali kwenye Galaxies, Milk Way Galaxy tukiipeleka hii kazi, WE ARE NOT IN DANGER, WE ARE THE DANGER, tunanyakua tuzo mapema kabisa.
images (9).jpeg


2. SHERLOCK
Nani kama Sherlock Holmes!?
Hii mali ni kisanga sana mzee, fanya uhalifu uwezavyo, tukimkodi Sherlock Holmes hautoboi, lazima tukuweke nyuma ya NONDO.
images (10).jpeg


3. RICK AND MORTY
Oyaaa weeeeh, tulia hivyo hivyo. Maana najua utashtuka!
Usiseme cartoon ni mbanga za kitoto, maana nitakuona ni mshamba zaidi ya Bartimaeous!
Rick Sanchez, best scientist in the galaxy, huyu mzee ni mwanafalsafa konki, kila akiongea anatema facts!
Wazee wa kataa ndoa mtaipenda hii kazi, humu ndani Rick Sanchez anakuambia Weddings are basically funerals with cakes!
Unapenda Sci-fi? Unapenda comedy?
Changamka tafuta hiki chuma uenjoy wewe!!!!
images (12).jpeg


4. BAND OF BROTHERS
Unajifanya unapenda sana kazi za majeshi na bado haujakiona hiki chuma!? Aaaah, basi weh Zuchu tu!
Humu ndani zinapigwa shaba mpaka Zambia wanaona wivu!!!
Kutana na E-Coy, kombania iliyobeba matumaini ya kikosi cha jeshi la Marekani katika WW II.
Wale wazee wenzangu wa NO REFORM NO ELECTION, kabla hatujaingia barabarani chukueni huu ujumbe kutoka kwenye Band of Brothers:
The only hope you have is to accept the fact that you're already dead. The sooner you accept that, the sooner you'll be able to function as a soldier is supposed to function: without mercy, without compassion, without remorse. All war depends upon it.
images (13).jpeg


5. TRUE DETECTIVE

Eeeh bwana, hiki chuma nimekiweka hapa namba 5 kwasababu nimetazama season 1 tu, hivyo hii sababu inafanya hiki chuma kiwe cha mwisho kwenye rank zangu za vyuma vitano(5) matata nilivyowahi kuvitazama.
Ingekuwa series zote zinaishia season 1, basi niseme hakuna kigongo cha kuchuana na kigongo hiki.
images (14).jpeg
 
Umesahau kuwambia kwamba wasiwa wekee watoto wao hii sio ya watoto 😁😁😁😁
Ahahaaah!
Episode ya kwanza tu inatosha kujua kwamba hii sio ya watoto!
Kuna sehemu Jerry analalamika tabia ya Rick kutumia muda mwingi na mtoto wake (Morty) kufanya mishe zake binafsi. Analalamika kuwa performance ya mwanae shuleni itashuka.
Ona jibu alilotoa Rick Sanchez.

Rick: Listen, Jerry. I-I-I don't want to overstep my bounds or anything. It's your house. It's your world. You're a real Julius Caesar but I'll tell you something—tell you how I feel about school, Jerry. It's a waste of time. Buncha people running around, bumping into each other. G-guy up front says, "two plus two." The people in the back say, "four." Then the—then the bell rings, and they give you a carton of milk and a piece of paper that says you can go take a dump or something. I mean, it's not a place for smart people, Jerry. And I know that's not a popular opinion, but it's my two cents on the issue.

Mtoto akiona hii ataitazama shule kwa jicho la utofauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom