Series (Special thread)

Series (Special thread)

Humu usipo kaa sawa utaangalia series Kwa kuruka ruka sana

Juzi nmetoka kuiponda adolescence mpk nimeacha kupakua episode zinazofata now nipo American primeval.... Tamu balaa.
Ila Adolescence pale hamna kitu, mi ilinishinda nikaipiga chini... ni kama tu na The night of, inaanza vizuri ila huko mbele hamna kitu!
 
Ila Adolescence pale hamna kitu, mi ilinishinda nikaipiga chini... ni tu na The night of, inaanza vizuri ila huko mbele hamna kitu!
😀😀Sasa hivi tutazame hii
20250407_204010.jpg
 
Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
1744104236642.jpeg

jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.

hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
 
Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829

jamaa anakiri kufanya mauji ambayo hakuyafanya ili wasimshtukie kwa aliyoyafanya thats Genius. 🫡🫡🫡
Ila kibongo bongo sio wazo zuri maana ukishakiri mapolisi wa huku ni wavivu hawafanyi tena uchunguzi utafia jela 😆😆😆😆
 
Jamaa miyeyusho sana ingekuwa kibongo. Bongo now yupo zake segerea anakula maharage
 
Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.

hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
thank you for assurance, ndiyo nipo episode ya pili..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom