Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,765
Izo stocks apo chini unazisoma
Dah Women and money 😃😃😃 yani katika vyote kwenye hiyo picha ulichoona ni kile ki Usd hapo chini me hata sikuona nikashangaa hzo stocks umeziona wapi 😅😅😅Izo stocks apo chini unazisoma
Vingine nimeona mwamba sasa nisiulize jmn😹Dah Women and money 😃😃😃 yani katika vyote kwenye hiyo picha ulichoona ni kile ki Usd hapo chini me hata sikuona nikashangaa hzo stocks umeziona wapi 😅😅😅
Nlikuwa nasubir kwa hamu yts wapandishe mickey 17
Hadi Mimi mkuu movie Kali sana hiiNlikuwa nasubir kwa hamu yts wapandishe mickey 17
😃😃😃😃Izo stocks apo chini unazisoma
Imekamilika?
BadoImekamilika?
Mwanangu black bag wamekufa watu watatu tu. Wawili kwa drone na mmoja kwa bastolaBado
Nimefuta kauli😁😁Cover tu linaonesha watu wapo serious na kazi zao
Me nilipeleka mbele mpaka scene ya mwisho pale wapo kwenye meza na nikaelewa movie 😀😀😀Nimefuta kauli😁😁
Walivyokuwa wanamtrack yule mama kule zurich kwa satellite nikasema mambo ya JAKI BAWA si ndo haya. Nikasubiri sasa mkono upigwe wapiii ni maongezi tuMe nilipeleka mbele mpaka scene ya mwisho pale wapo kwenye meza na nikaelewa movie 😀😀😀
nikaokoa saa moja na dakika kama ishirini 😅😅😅
Wako vizuri, mi niko season 2 tayariFargo ni balaa 🔥, wewe uliyeileta hii nakupa 👊
😀😀Mwanangu black bag wamekufa watu watatu tu. Wawili kwa drone na mmoja kwa bastola
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
😀😀Me nilipeleka mbele mpaka scene ya mwisho pale wapo kwenye meza na nikaelewa movie 😀😀😀
nikaokoa saa moja na dakika kama ishirini 😅😅😅
😀😀😀Nimefuta kauli😁😁