Series (Special thread)

Naskia hiyo adolescence kuna episode nzima ni katoto kanafanyiwa mahojiano tuuu mwanzo mwisho, kuna Hadi jamaa alinishambulia humu kwamba mimi sijui drama na story napenda movie za kupigana ngumi tu. Kisa eti series ina rating kubwa, jiheshimu we jamaa😀😀 hiyo adolescence hakuna series pale ni takataka
 
Dogo alipata hadi hamu pale za kumtamani yule anae mfanyia mahojiano kale katoto kanatabia za kiwaki
 
Sasa kama hupendi/hujui movies/series zenye drama nzuri usiambiwe kisa unapenda mangumi?

Ulitaka wote tukubaliane kuwa adolescence sio nzuri kisa episode ya 3 haikuwa unavyotaka?

No offense, ila usilazimishe tuone kitu kibaya kisa genre hujaipenda. Wengine tunapenda hivyo usivyopenda!
 
Kuna mtu alikuja wangu wangu kuniomba severance, kisa ameona ina viewers wengi na rate kubwa.. baada ya kumpa ikamshinda, anakuja kutoa shombo eti season mbaya sijui wazungu wameipendea nini..

Nikamwambia simply tu sio mahadhi yako, usiseme mbaya!
 
Kavamia huyo hapo huyo Itakuwa anapenda action tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…