Series (Special thread)

Series (Special thread)

THE VAULT

ni movie inayohusianana na dogo mwenye akili nyingi anakataa deal la kampuni kubwa ya kufanya kazi badala yake anajiunga na kundi la wizi kwa lengo la kufanya wizi kwenye bank ambayo ina ulinzi mkubwa na inasimamiwa na mkuu wa security nae ana akili. So ifuatilie hautajutia
Nasubiri part2. Instead wametuletea den of thieves halafu wameiharibu
 
MV5BN2RkZmM2YTAtYzk5MS00NzAxLWEzZDYtZjJkM2ViNDM5ZTZjXkEyXkFqcGc@._V1_SX800.jpg
wakuu hii si yakukosa..
 
Kitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.

View attachment 3270265
Kali Sana


Yule Kitty mtoto Moja mrembo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom