Series (Special thread)

Ni kweli season ya kwanza imeisha tusubili ya 2 lini itatoka @Da vinc
 
Ni kweli season ya kwanza imeisha tusubili ya 2 lini itatoka @Da vinc

mmmmh mbona imekuwa fupi ivo? imeishia pazuri sana kiukweli.
Sunny nilijua ndo mkali wao kumbe kuna wababe zaidi yake.
 
huu uzi nimeupenda bure. imenifanya nianze kuwa mfuatiliaji wa series, mpaka sasa nimeshafuatilia The last ship na nilianza Into the Badlands kimya kimya baada ya kuona sifa zake humu hakika nimesuuzika moyo
 
Inahusu nini mkuu??
 
Wakuu kuna ambae amecheki homeland season 5 atupe mrejesho kama imechangamka. Maana season 1-3 zilikua zinaniboa sana ila season 4 ilichangamka, mission za kutosha.
 
Karibu mkuu uwe huru kuuliza na kushare experience
 
iko poa kuhusu kuchangamka me naona kawaida tu ila ni nzurii na imeisha aseee
Wakuu kuna ambae amecheki homeland season 5 atupe mrejesho kama imechangamka. Maana season 1-3 zilikua zinaniboa sana ila season 4 ilichangamka, mission za kutosha.
 
hahaha wale ma monk walikuwa washapigwa bila kutumia njia mbadala walikuwa hawachomoki kwa sunny

season 2 itakuwa nzuri sana

inavyoonekana Sunny nae anamauwezo kama yao ila hajajijua jinsi ya kuyaamsha hayo mashetani ila jamaa alijitahidi kuwabana sema walitumia 'goli la mkono'
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…