Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,018
- 46,823
Series. Nimeishia njiani kwanzaNi single movies au series maaana nimeitafuta onstream haipo
Series. Nimeishia njiani kwanzaNi single movies au series maaana nimeitafuta onstream haipo
Mkuuuu naomba muongozo wa ku dawnlod ON STREAM KWA PC LAP TOP MSAAADA WAKO MKUUUExactly kaka ila mie nimezoea kudownload 😀
Kwa PC tumia uttorent tu mkuuMkuuuu naomba muongozo wa ku dawnlod ON STREAM KWA PC LAP TOP MSAAADA WAKO MKUUU
Nimeidownload Ina siku 2 lakini sijaicheki bado nasikiliziakwanza 😃😀Cassandra vipi wakuu?
mhh😀😃😃😃 Huyu anapenda sana kugawa utamu
Ije aisee maana tumeisubiri miaka 2 sasaSeason 2 inakuja soon
Uki sikia go back to your family, ujue kime umana.View attachment 3240704
By the order of Peaky Blinders😇
Kama hujawahi kuitazama hii show basi hakikisha unaishi nayo as soon as possible
Mimi nimeitizama episode 2 nikaifuts kabisa. Imepooooa sana.Ni kwamba night agent season 2 imepooza au ni mimi tu nina mambo mengi?
waandishi hawakuwaza hukomshamba_hachekwi, Franky Samuel, Greatest Of All Time Leo nime kaa Nika waza kwanini Jesse haku wahi kutana na mtoto wa Walter white?
View attachment 3240779
au wali kuwa Wana mpango wa kutoa series nyingine, ili jese na flyn waendeleze kazi?.waandishi hawakuwaza huko
Hii nimejaribu kurudia kuangalia season 1 mara mbili ikanishindaView attachment 3240704
By the order of Peaky Blinders😇
Kama hujawahi kuitazama hii show basi hakikisha unaishi nayo as soon as possible
Hii unatakiwa kwenda nayo taratibu, kuanzia season 2 imechangamka sanaHii nimejaribu kurudia kuangalia season 1 mara mbili ikanishinda
Hii ilitushinda wengi ni sawa na homeland ilinishinda piaHii nimejaribu kurudia kuangalia season 1 mara mbili ikanishinda
Haha kumbe sipo pekeyangu ..nimejaribu mara kadhaa lakin wapi sikumaliza hata s01Hii nimejaribu kurudia kuangalia season 1 mara mbili ikanishinda