buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Mkuu kwenye hivi vitu tunatofautiana taste, mimi ukinipa show kamaHaha kumbe sipo pekeyangu ..nimejaribu mara kadhaa lakin wapi sikumaliza hata s01
Twisted metal
Euphoria
One piece
Elite
Na zingine zenye u-teenager ndani yake nitakua na-skip mwanzo mwisho, naweza kuangalia season mzima kwa dk 3 kisha nikaifuta kabisa.
Lakini kwa show kama
Landman
Gentlemen
Agency
Billions
Black Mafia Family
The Rookie
Power zote
Peaky Blinders
The Last ship n.k
Hizi ni show ambazo tunaweza kuzirudia hata mara 100.