Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama hukuwahi kuangalia kabisa The Punisher... 😁 Mwambie alieko pembeni yako akupige konzi la kichogo!
0d0e146796a3ddbe08b9138406c8eb33.jpg
 
Sasa Mkuu anachosema hapa ni sawa na shabiki wa mziki wa bongo fleva wa Miaka ya 2000. Unaweza kurudia mara kwa mara kusikiliza ngoma za kina Pfunk Majani. Ila ngoma ya sasa hivi mfano komasava hutotaka kuirudia kuisikiliza Mara Kwa Mara.

Ni kweli prison break miaka ile ilikuwa balaa na series zilikuwa chache.
Hata series zilikua chache , bado series za sasa haziingii mle hata kwa mbaali tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom