Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Punguza mawazo mkuu, utaenjoy sana humoHii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?
Punguza mawazo mkuu, utaenjoy sana humoHii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?
Ipo vizuri sana hiiHii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?
Series kalii sana hii 🔥Oya wanangu Silo imefikia patamu sana aisee!
Nimeshaishusha, ngoja niianzeSeries kalii sana hii 🔥
Hii nimeangalia season one peke yakeReacher Ukubwa wa mwili sio wingi wa vipigo bali wingi wa Maongezi
Hizi ndio kazi za kikubwa mkali 😎Hata mimi niliachia SO1.
Eps 01 - Ngumi Moja
Eps 02 - Maongezi
Eps 03 - Maongezi
Eps 04 - Teke
Eps 05 - 08 - Maongezi
😃😀😃Inaweza kuwa kubwa jinga
Ni kweli, season 2 mvuto umepungua.Hii nimeangalia season one peke yake
Mie mpaka sasa naona sijui kwanini hamgongi neagley hapo ndio anafeliNi kweli, season 2 mvuto umepungua.
Kweli nimeamini mwenye njaa ndio aliyesema uyoga unanoga kama nyamaPrison Break SO3 Done.
1 Prison break = 100,000 Jackals
Halafu mtoto mzuriMie mpaka sasa naona sijui kwanini hamgongi neagley hapo ndio anafeli
Kabisa 😃Halafu mtoto mzuri
Exactly 💯 brother hii series kalii sanaKila eoisode moja kwenye wrong side of tracks ina saa moja na dakika kadhaa. Kwa quality ya 720p zina angalau MB 400 KWA KILA EPISODE. halafu quality nzurii l. Naweza sema hawa wanao tuletea episodes zina dakika 39 halafu kwa kila episode ina MB 360 MPAKA 400 wanatuibia. Halafu wamachanganya na ushoga ndani yake.
Hii wrong side of tracks nimeipenda sana. haina mkong'oto ila imekaa kifamilia zaidi na changamoto za hapa na pale za vijana wanao balehe
Kuna mtu anapiga paipu hapo na anaona ni wa kawaidaHuyu mtoto 😎🥰
View attachment 3199001
Naona mzee umekua obsessed na huyu bidadaHuyu mtoto 😎🥰
View attachment 3199001
Mtamu sana huyu shepu ipo Kila kitu quality 😃 ipo juuuNaona mzee umekua obsessed na huyu bidada
😀😃😃😃 Nikipata wa hivi sitoki nje kaka Hawa watoto wa black wazuri SanaKuna mtu anapiga paipu hapo na anaona ni wa kawaida