AiseππBora breaking bad nliweza hiyo game of thrones nlishindwa
Hizo hata Mimi zilinishinda mapema sana πHivi mnawezaje kumaliza series ndefu kama breaking bad na game of thrones
Ukitulia ukapanga schedule unaimaliza yoteHivi mnawezaje kumaliza series ndefu kama breaking bad na game of thrones
Yupo kama vikita wa from akili zakeπππKwenye Silo huyu character mpya alieongezwa, Steve Zahn, nimependa sana uigizaji wake hasa convos na reaction zake. Jamaa kwa kiasi fulani kaongeza utamu kwenye season 2.
Nipe link ya trailer ya hiyo canadian sniper huwenda ni the jackal nyingine nisije pitwa na utamππππ
View attachment 3178320
Game of throneNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Nipe link ya trailer ya hiyo canadian sniper huwenda ni the jackal nyingine nisije pitwa na utam
Nipe link ya trailer ya hiyo canadian sniper huwenda ni the jackal nyingine nisije pitwa na utam
Nimepitia coments za wadau kila mtu anatukana anasema trela mbaya πππ
Mimi niidownload lakini sina mpango nayo Kuna jamaa nilimdownld hii πππ ila na Mimi nilianza kuitamani ila ulivyo sema naipiga chini Bora nicheki hizo zingine ππππNimepitia coments za wadau kila mtu anatukana anasema trela mbaya πππ
Angalia episodes 2 ulete mrejeshoMimi niidownload lakini sina mpango nayo Kuna jamaa nilimdownld hii πππ ila na Mimi nilianza kuitamani ila ulivyo sema naipiga chini Bora nicheki hizo zingine ππππ
Nimeshafuta hapa π π jamaa niliye mpa akitazam kwanza na mie nitaruka nayo niione kwanzaAngalia episodes 2 ulete mrejesho
Hapo kwenye venom umeunguza mbs ama nasema uwongoππππππ
View attachment 3178320
Ni nzuri sana mbona πHapo kwenye venom umeunguza mbs ama nasema uwongoππ
Bianca amezingua sana. Yaani alikuwa na imani kuwa yeye anatosha kumlambisha mchanga bwana Jackal, tena ndani ya himaya yake!?Alimfuata muhuni Spain kule kwenye dojo lake akayatimba
Labda kama aliyemtwanga risasi sio baba Carlito.Inawezekana bianca hajafa !