Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,253
- 79,835
Nilisema Toka jana hapaInawezekana Bianca hajafa, Na inawezekana Jackal alifanya makusudi kutomuua maana ile haikuwa Headshot na kwa umwamba wa jamaa ile distance ni ndogo sana akukose headshot,
Ila Suala la Bianca kwenda nyumbani Kwa Jackal na kutaka kumtia nguvuni. That was stupid
Huyu ni yule dogo wa kwenye kings man the secret service?
Ni yeye brotherHuyu ni yule dogo wa kwenye kings man the secret service?
Bianca hajafarikiWameniudhi sana hawa watu kwa kumuua Bianca. Isitoshe, wamemuua na Vince pia. Bianca alikuwa anaelekea kuliwa kimasihara na mwamba, mara wakamrudisha tena kwa Paul. Hawa waandishi wana mambo mengi mno.
Wameboa sana hawa writers kama wae waliomuua Ned Stark kwenye season ya kwanza ya GoT. Plot twists ni nyingi, episodes ni chache. Ila wamejua kucheza na hisia za watazamaji. Leo unakuwa upande wa Bianca na unataka amdake Jackal, kesho unakuwa upande wa Jackal na unataka awashughulikie wale wahuni wanaomdulumu mshiko wake kirahisi rahisi tu baada ya kutumia nguvu na akili zote zile kutekeleza mauaji yao. Sasa Tywin Lannister nae atapata alichokitafuta kwa Jackal. Angemlipa tu yaishe. Sasa amewaudhi Jackal na Zina kwa pamoja...
Na wamempa The Jackal likeability kubwa. Unaona kabisa jamaa ana maadili fulani licha ya kulazimika saa zingine kufanya maamuzi asiyopenda ili aokoe maisha yake au atimize lengo lake, ila hauwi tu bila sababu ya msingi.
Theory yangu ni kuwa Osita atabeba mikoba ya Bianca sasa. Ni kama wanataka kila season iwe na protagonist mpya wa kupambana na The Jackal, na Jackal atakuwa anabadilika badilika kuwa steringi na adui ndani ya msimu kama msimu wa kwanza, ila sioni kama hii style itaweza kukaa zaidi ya misimu miwili.
Namalizia kushusha helicopter heist na hii nitembee nayoNi yeye brother
Ila yule Bi dada Bianca anaipenda kazi yakeWameniudhi sana hawa watu kwa kumuua Bianca. Isitoshe, wamemuua na Vince pia. Bianca alikuwa anaelekea kuliwa kimasihara na mwamba, mara wakamrudisha tena kwa Paul. Hawa waandishi wana mambo mengi mno.
Wameboa sana hawa writers kama wae waliomuua Ned Stark kwenye season ya kwanza ya GoT. Plot twists ni nyingi, episodes ni chache. Ila wamejua kucheza na hisia za watazamaji. Leo unakuwa upande wa Bianca na unataka amdake Jackal, kesho unakuwa upande wa Jackal na unataka awashughulikie wale wahuni wanaomdulumu mshiko wake kirahisi rahisi tu baada ya kutumia nguvu na akili zote zile kutekeleza mauaji yao. Sasa Tywin Lannister nae atapata alichokitafuta kwa Jackal. Angemlipa tu yaishe. Sasa amewaudhi Jackal na Zina kwa pamoja...
Na wamempa The Jackal likeability kubwa. Unaona kabisa jamaa ana maadili fulani licha ya kulazimika saa zingine kufanya maamuzi asiyopenda ili aokoe maisha yake au atimize lengo lake, ila hauwi tu bila sababu ya msingi.
Theory yangu ni kuwa Osita atabeba mikoba ya Bianca sasa. Ni kama wanataka kila season iwe na protagonist mpya wa kupambana na The Jackal, na Jackal atakuwa anabadilika badilika kuwa steringi na adui ndani ya msimu kama msimu wa kwanza, ila sioni kama hii style itaweza kukaa zaidi ya misimu miwili.
Yah hii inawezekana na hata jamaa atakuwa anajua 🤔Bianca hajafariki
Napenda iwe hvyo,lakini muda mwingine napenda iwe kinyume huyu demu akate moto mnoko sana😁Inawezekana bianca hajafa !
Mimi mtu akiwa kimbelembele huwa sipendi kama yule BIANCA 😃Yule uwezo wake mdogo sana hawezi deal na daggan but nimefurahi yule Bianca kufa
Na kosa lake ni kumtambua kama mwamba ni daggan
Hivi yule Mwanae Jackal aliekuwa nae jeshin alikuwa anaitwa nani?Yule uwezo wake mdogo sana hawezi deal na daggan but nimefurahi yule Bianca kufa
Na kosa lake ni kumtambua kama mwamba ni daggan
Pitia kwa juu tumeshaweka vyuma kaka na Kuna hii fallout seriesHili jukwaa kwangu best kuna vyuma navipata kupitia hizi series
Wadau msichoke kushusha vyuma jumapili Leo Siku ya utulivu na kuchekicheki muvi
Hilo lizee lenyewe jizijizi tuu tizame mimacho yake🤣🤣🤣
Poa mkuu ngoja nipite nayoPitia kwa juu tumeshaweka vyuma kaka na Kuna hii fallout series
Inawezekana Bianca hajafa, Na inawezekana Jackal alifanya makusudi kutomuua maana ile haikuwa Headshot na kwa umwamba wa jamaa ile distance ni ndogo sana akukose headshot,
Ila Suala la Bianca kwenda nyumbani Kwa Jackal na kutaka kumtia nguvuni. That was stupid
Wenzetu sijui wanatengenezaje hizi series zao yaani wanakuteka akili unajikuta
Unampenda mtu au kumchukia Ile toka moyoni, baadae unajishaangaa unakumbuka kumbe nacheki muvi