Series (Special thread)

Series (Special thread)

Story inahusu serial killer na mwamba anaitwa Alex Cross ambae ni Homicide Detective pia ni Forensic Psychologist.

Cross licha ya ku solve kesi nyingi lakini kesi ya muuaji wa mke wake na hiyo ya serial killer zilifanya kichwa kizunguke.

Kama story ndo hiyo ngoja nianze nayo kesho, Vipi SILO maana ilinishinda season 1 episodes za mwanzo kabisa
 
Binadamu wanaishi katika Silo... Hii Silo kwa lugha rahisi ni kama kota ambazo zimejengwa chini... Hizo kota ni kubwa mnoo na kuna watu nyomi tu wanaishi humo.

Kutoa kauli ya kusema unataka kwenda nje ni kosa kubwa mnooo, maana wanachosimuliwa ni kwamba...👇

nje hakuna maisha na moment unayotoka tu lazima ufe. Silo inaongozwa na Committee ambao ndio wana plan na kuongoza kila kitu.

Juliette alikua ni engineer, baada ya mpenzi wake kufa kifo cha kutatanisha anaamua kufanya investigation... Anayokutana nayo ndio yakupasa...

utazame kujionea. Mzigo una episodes 10 tu.

Huu mzigo uwe umekula nguna mzee 😁
 
Binadamu wanaishi katika Silo... Hii Silo kwa lugha rahisi ni kama kota ambazo zimejengwa chini... Hizo kota ni kubwa mnoo na kuna watu nyomi tu wanaishi humo.

Kutoa kauli ya kusema unataka kwenda nje ni kosa kubwa mnooo, maana wanachosimuliwa ni kwamba...

nje hakuna maisha na moment unayotoka tu lazima ufe. Silo inaongozwa na Committee ambao ndio wana plan na kuongoza kila kitu.

Juliette alikua ni engineer, baada ya mpenzi wake kufa kifo cha kutatanisha anaamua kufanya investigation... Anayokutana nayo ndio yakupasa...

utazame kujionea. Mzigo una episodes 10 tu.

Huu mzigo uwe umekula nguna mzee

shukrani mkuu bila shaka kuna pisi za kwenda humo kama Raven wa The 100
 
Humu Kuna huyu mtoto wa kiSwedish

Anaitwa Rebecca Ferguson
Rebecca Ferguson.jpeg
 
Daaah!
Pamoja na unyama wake wote lakini Muzungu amefanikiwa kumpaka Jamaa shombo ya ushoga.

images.jpeg

Series ya kibabe namna hii imepakwa mafuta ya ushoga, vijana softie wakiangalia hii series wataanza kuona ushoga ni jambo la kawaida.

Tuna kazi kubwa sana kulinda kizazi kijacho cha wanaume.
 
Daaah!
Pamoja na unyama wake wote lakini Muzungu amefanikiwa kumpaka Jamaa shombo ya ushoga.

View attachment 3164985

Series ya kibabe namna hii imepakwa mafuta ya ushoga, vijana softie wakiangalia hii series wataanza kuona ushoga ni jambo la kawaida.

Tuna Kazi kubwa sana kulinda kizazi kijacho cha wanaume.
Mie nikiona mambo hayo napeleka mbele ila naona miyeyusho sana kutazama ila sina jinsi aiseeni kupelekea mbele tu na Kuna the boys hiyo ndio Kuna laana kabisa
 
Hatari sana mkongwe!
Kuna kipindi utazoea kuangalia, utajikuta ghafla tu umeacha habari ya kupeleka mbele scene za namna hiyo (that's how brain works).

Miaka ya nyuma movies au series za ACTION ilikuwa hauwezi kukuta ujinga wa mapenzi ya jinsia moja.

Hii kitu ya The Jackal ni ya moto sana, ilifanikiwa kuteka hisia zangu. Mara paaap, episode ya 6 hiyo 🤮🤮🤮🤮.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom