Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,241
- 79,800
Zitafute
Kama unapenda comedy ipo vizuri sana upande huo kama the big bang theory tu na ni drama piaView attachment 3161494
Nishaurini kabla sijaishusha, naona ina ratings kubwa IMBD
Ngoja niishi nayoKama unapenda comedy ipo vizuri sana upande huo kama the big bang theory tu na ni drama pia
Series Kali sana sema ep ya 6,7 wameleta mambo yao ya ushogaYani ile naichukua kwa quality ta 1080p. Hiyo hata ganda la biscuit unasikia likitua chiniseries hiyo ipewe heshima yake
Kama unapenda comedy chukuaView attachment 3161494
Nishaurini kabla sijaishusha, naona ina ratings kubwa IMBD
Mzigo full au ndo wataanza kutupatia dozi mojamoja
Ngoja tuiskilizie
Unaonekana wa moto.
Wata anza na vipande viwili kwanza afu Kila ijumaaa wanatupa Moja MojaMzigo full au ndo wataanza kutupatia dozi mojamoja
Exactly 💯 kalii sana hiiUnaonekana wa moto.
Daaah hadi nashindwa nielemee wapi?Exactly 💯 kalii sana hii
Komaa nazo zote utazicheki andaa schedule tu mkuuDaaah hadi nashindwa nielemee wapi?
Bado naangalia Day of the jackal,special ops lioness namalizia episode 5
The cross hata sijaanza
Yule mama alie achiwa mtoto na begi la hela vipi atakuwemo?Official poster
View attachment 3163040
Itakuwa yupoYule mama alie achiwa mtoto na begi la hela vipi atakuwemo?