Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,194
- 9,652
Nimeishusha jana episode zote na leo nimeangalia episode ya kwanza tu...Hii the jackal kama hujaishusha nakushauri usubiri kwanza ikamilike. Nimemaliza episode7 hapa najuta kwanini niliharakisha kuichukua kabla haijakamilika.