buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Naifatilia Master of the Air sioni maajabu kabisa, imeachwa mbali na series zenye kariba kama yake mfano mzuri Red Tails. Kama bando la kuunga achana nayo
Kawaida sana mkuu pale ni sehemu muhimu sana😎😎Unapenda sana chini mkuu.
Nimeona kiswahili kimetumika hadi kwenye series ya MR & MRS SMITHOuter banks s4Ep8 kuna kiswahili kimetumika humo. Lugha inazidi kwenda kimataifa
Mimi wamenikera jamaa kuanza kujulikana mapema sana, yani imekuwa simple sana kumjua anayehusika hata kama hawamjui kwa sura. Ilitakiwa aanze kujulikana ikifika episone ya 8 au 9 huko.Sema jackal anafukua mtaro kwenye hiyo episode anaanza kunikera
Hii ni kali au miyeyusho tu?Hii hapa 😂 😀😃View attachment 3155319
Safi sana hii mali🔥Umpate wa hivi 😀😃😎View attachment 3155336
Ana chura?Umpate wa hivi 😀😃😎View attachment 3155336
Maoni?Nimemaliza THE PENGUIN So1. Wacha nisubirie ya 2.
Naendelea kuchanja mbuga na THE PENGUIN, series inasisimua kama mtu amelala ndani usiku akasikia chui anakula mbuzi zizini kwake
Ursura corbelo anapua kubwa sana sema ni kazuri sana![]()
Kalii sana kama unapenda sci-fi kakaHii ni kali au miyeyusho tu?
Batman atakuwepo sema Gotham city kubwa sana oz yupo weak sema ana akili sana yule dogo vikita alitakiwa afe Toka EP ya 1Nimemaliza THE PENGUIN So1. Wacha nisubirie ya 2.