Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
😃😀😃😃😀😀😀😀😀😀😀😀Leo nilikua nafanya rewatch ya Game of thrones.
Daaah.
Tukiongea ukweli bila kupelekwa kwa popular opinion, kama hujasoma vitabu vyake, season 1 na 2 ni za hovyoo sanaa kwenye suala la writing.
Kwa season 1&2, Waandishi walichukua vitabu vizima wakavitengenezea screenplay kama vilivyo (mabadiliko machache sana) bila kujali utofauti wa storytelling kwenye kitabu na kwenye screen.
Dunia ya GoT ni pana hivyo Kitabu kinakua na maelezo mengi ili mtu uelewe vizuri kinachoendelea.
Hali ni tofauti kwenye screen maana unakua na limited time hivyo lazima storytelling ibadilike ili kuendana na mahitaji ya screen, kitu ambacho hakikufanywa au kilifanya kidogo sana kwenye Show ya GoT.
Hii ndio sababu fans wa GoT tunakwambia "we jikaze tu umalize season 1, huko mbeleni hutaiacha 🤣🤣" ( Japo ni kweli, kuanzia season ya 4 ni mchakamchaka sio wa dunia hii lakini nani wa kusubiri mpaka season ya 4 huko?) kama hujasoma kitabu, season 1 na 2 lazima zikutimue kambini unless upitiwe na kale ka ugonjwa ka kitu kikisifiwa na kupendwa na wengi basi nawewe automatically unakipenda.
Watu wengi ambao hii kitu imewashinda, wanalalamika kwamba it's so boring, na ni kweli, kwa mtu ambae ni mgeni kabisa kwenye GoT universe, GoT seasons 1 &2 are soo boring, hata ya 3 kwa kiasi fulani inaboa pia.
Mimi binafsi ni fan mkubwa wa GoT hasa zile novel zake and they are epic lakini linapokuja suala la show, leo nathubutu kusema kuwa GoT, as a standalone show bila kutegemea vitabu, it is an overrated "fantasy crap".
Mimi mwenyewe niliicheki episode 1 tu ya season 1 nikaishia hiyo hiyo sijui kwanini watu wanaipa promo sana hii seriesLeo nilikua nafanya rewatch ya Game of thrones.
Daaah.
Tukiongea ukweli bila kupelekwa kwa popular opinion, kama hujasoma vitabu vyake, season 1 na 2 ni za hovyoo sanaa kwenye suala la writing.
Kwa season 1&2, Waandishi walichukua vitabu vizima wakavitengenezea screenplay kama vilivyo (mabadiliko machache sana) bila kujali utofauti wa storytelling kwenye kitabu na kwenye screen.
Dunia ya GoT ni pana hivyo Kitabu kinakua na maelezo mengi ili mtu uelewe vizuri kinachoendelea.
Hali ni tofauti kwenye screen maana unakua na limited time hivyo lazima storytelling ibadilike ili kuendana na mahitaji ya screen, kitu ambacho hakikufanywa au kilifanya kidogo sana kwenye Show ya GoT.
Hii ndio sababu fans wa GoT tunakwambia "we jikaze tu umalize season 1, huko mbeleni hutaiacha 🤣🤣" ( Japo ni kweli, kuanzia season ya 4 ni mchakamchaka sio wa dunia hii lakini nani wa kusubiri mpaka season ya 4 huko?) kama hujasoma kitabu, season 1 na 2 lazima zikutimue kambini unless upitiwe na kale ka ugonjwa ka kitu kikisifiwa na kupendwa na wengi basi nawewe automatically unakipenda.
Watu wengi ambao hii kitu imewashinda, wanalalamika kwamba it's so boring, na ni kweli, kwa mtu ambae ni mgeni kabisa kwenye GoT universe, GoT seasons 1 &2 are soo boring, hata ya 3 kwa kiasi fulani inaboa pia.
Mimi binafsi ni fan mkubwa wa GoT hasa zile novel zake and they are epic lakini linapokuja suala la show, leo nathubutu kusema kuwa GoT, as a standalone show bila kutegemea vitabu, it is an overrated "fantasy crap".
Uwezekano upo ndio mkuu tumia torrent uwe na search engine yake ni pirates bays uwe na network strong kama zile za fiber ukitumia hizi network za haloteli na voda umeisha speed ndogo wiki hizi TZ network ni takatakaMsaada naomba kusaidiwa kama kuna uwezekano wa ku download Season nzima na episode zake zote kwa pamoja sio moja moja
Ok apa nimepata kituUwezekano upo ndio mkuu tumia torrent uwe na search engine yake ni pirates bays uwe na network strong kama zile za fiber ukitumia hizi network za haloteli na voda umeisha speed ndogo wiki hizi TZ network ni takataka
Ndiyo pia kacheza gangs of londonHuyu jamaa sindio yule pirate Sallador San wa kwenye Game of Thrones?
Inaeleweka kaka bila shida yoyote mbona mimi naicheki huku nafuatilia story mdogo mdogo mpaka nikaelewa ila house of dragon ndio inanitoa kwenye moodLeo nilikua nafanya rewatch ya Game of thrones.
Daaah.
Tukiongea ukweli bila kupelekwa kwa popular opinion, kama hujasoma vitabu vyake, season 1 na 2 ni za hovyoo sanaa kwenye suala la writing.
Kwa season 1&2, Waandishi walichukua vitabu vizima wakavitengenezea screenplay kama vilivyo (mabadiliko machache sana) bila kujali utofauti wa storytelling kwenye kitabu na kwenye screen.
Dunia ya GoT ni pana hivyo Kitabu kinakua na maelezo mengi ili mtu uelewe vizuri kinachoendelea.
Hali ni tofauti kwenye screen maana unakua na limited time hivyo lazima storytelling ibadilike ili kuendana na mahitaji ya screen, kitu ambacho hakikufanywa au kilifanya kidogo sana kwenye Show ya GoT.
Hii ndio sababu fans wa GoT tunakwambia "we jikaze tu umalize season 1, huko mbeleni hutaiacha 🤣🤣" ( Japo ni kweli, kuanzia season ya 4 ni mchakamchaka sio wa dunia hii lakini nani wa kusubiri mpaka season ya 4 huko?) kama hujasoma kitabu, season 1 na 2 lazima zikutimue kambini unless upitiwe na kale ka ugonjwa ka kitu kikisifiwa na kupendwa na wengi basi nawewe automatically unakipenda.
Watu wengi ambao hii kitu imewashinda, wanalalamika kwamba it's so boring, na ni kweli, kwa mtu ambae ni mgeni kabisa kwenye GoT universe, GoT seasons 1 &2 are soo boring, hata ya 3 kwa kiasi fulani inaboa pia.
Mimi binafsi ni fan mkubwa wa GoT hasa zile novel zake and they are epic lakini linapokuja suala la show, leo nathubutu kusema kuwa GoT, as a standalone show bila kutegemea vitabu, it is an overrated "fantasy crap".
Naunga mkono hoja hii kitu Hawa maninja ni balaaMnaopenda action mzigo huu hapa story yake sio nzuri sana na haiitaji uwe na D2 kuelewa , Ila mkono na visu sio poa
Ngoja niidownload hiiMnaopenda crime chukueni hii TRUE STORY
Baba nimeanza Gang of London ni noma sana Salute kwa ushauriHii nineshamalizana nayo. Muvi/seties za hivi nazikubali sana.
Lupin
Gangs of london
Withought remorse
Nikimalizia na hii hapa kwenye picha
View attachment 3113932
Ukimaliza lete mrejeshoNgoja niidownload hii
Kali sana hiyoNimeimaliza PRESUMED INNOCENT, nilianza kuiangalia asubuhi
Ni kazi safi brother ipo vizuriUkimaliza lete mrejesho
Kalii sana tatizo imejaa upinde EP ya 2 paleBaba nimeanza Gang of London ni noma sana Salute kwa ushauri
tumia Gomovies na uhakikishe browser yako ume install add on ya videodownloadhelperUwezekano upo ndio mkuu tumia torrent uwe na search engine yake ni pirates bays uwe na network strong kama zile za fiber ukitumia hizi network za haloteli na voda umeisha speed ndogo wiki hizi TZ network ni takataka