Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,249
Muone dr. Janabi haraka.Wazee wa FROM let's gather here 🥳🥳🥳 hili dude ni balaa ila sasa ujanja wangu wote wa kuangalia horror movies hii siwezi kuiangalia usiku😬🤭
Season ya ngapi sasa?Tulsa King nipo nayo bega kwa bega, napenda jinsi Mr. Dwight anavyoishi kishikaji na vijana wake, naona acting yao ipo so natural yaan they all enjoy to work with Stallone a.k.a Rambo, my fav actor of all the time
Mpaka wewe unaogopa. Mbona hakuna cha kuogopeshaWazee wa FROM let's gather here 🥳🥳🥳 hili dude ni balaa ila sasa ujanja wangu wote wa kuangalia horror movies hii siwezi kuiangalia usiku😬🤭
Imaginationshivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.
Inaitwaje hiyo series?Noma sana mkuu
Niko Season 1 asee mara ya kwanza nilikuwa sijaielewa nikajipa muda sa hv nimeanza kuisoma vyema sijui huko mbele itakuaje hii
Season 2, ndo wanadondosha mdogo mdogoSeason ya ngapi sasa?
Wale creatures wanatisha bhana, wanavyotembea taratibu ila wakikufikia wanavyobadilika! Walimuua kikatili sana mama ake Kenny🥲Mpaka wewe unaogopa. Mbona hakuna cha kuogopesha
Huyu jamaa sindio yule pirate Sallador San wa kwenye Game of Thrones?View attachment 3122660
Watu wengi hawajui kama huyu mwamba ni mbongo mwenzetu
Ndio yeyeHuyu jamaa sindio yule pirate Sallador San wa kwenye Game of Thrones?
Ndio mwenyeweHuyu jamaa sindio yule pirate Sallador San wa kwenye Game of Thrones?
Citadel diana umeifuatilia? Inaonekana kama show nzuri japo mission zake ilipaswa zifanywe na jamaa wa kwenye bullet train au agent argyle au basi mshikaji wa kwenye night agent
Vipi ina kamkong'oto au ina mission ganiView attachment 3117259
Hii kitu yamoto sana yaani sana 😎 😎 tukutane jumapili ijayo EP ya 4 sisi wazee wa kuiba Moja Moja oz mtu mbadi
Link yake ya vipande vipandeWarrior
Niliianza upya season break na kuimaliza na sasa nataka nianze seal team mwisho wa mwaka huu kula burudani
Inamuhusu mwana na harakati zake ndani ya Gotham city ipo vizuri sanaVipi ina kamkong'oto au ina mission gani
Link yake ya vipande vipande
Naunga mkono hojaView attachment 3122660
Watu wengi hawajui kama huyu mwamba ni mbongo mwenzetu