Series (Special thread)

Lord of the rings sijaona kitu kabisa, character wake hawana mvuto lakini pia kuna too much animation kwenye hii series. Sishauri mtu kuipakua
Naunga mkono hoja.

Series haina chochote mule ndani, inalazimishwa tu kwa kupitia umaarufu wa zile muvi za lord of the rings watu wapige pesa.
Ukiachana na cinematography, hakuna cha maana humu.

Pure definition of fantasy crap ndio hii sasa.
 
Mkuu relax it's just a movie..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…