Series (Special thread)


Huyu mbona Kama priyanka chopra😐😐😐
 
ok..let wait and see..what if alex ndo bomber..Swala la yeye kupona peke yake nalo linanipa maswali..Na jinsi wanavyoshirikiana na booth sielewi..Kama alex hajahusika it means Alex didnt shoot Booth..Why Booth aseme Alex ndo alimpiga risasi?..Kuna mchezo unaendelea hapo
 
Ukiangalia hata kwenye hiyo video uliyoattach unaona kabisa ni mzito kucheza,

Huyu binti kwa kweli ni mzuri na anavutia but hiyo ndio kasoro yake inabidi afanye sana mazoezi
Watoto karibia wote wakali aisee..It seems like FBI inarecruit watt wazuri tu
 

Ukiangalia Booth alitoa jibu kama la kumridhisha Liam ili apate discharge pale hospital.

Ndio maana ameaidi kumsaidia
 
Ukiangalia Booth alitoa jibu kama la kumridhisha Liam ili apate discharge pale hospital.

Ndio maana ameaidi kumsaidia
Mkuu ushahidi alioutoa Booth ni mkubwa sana..Sidhani kama angeweza kusema vile kwa lengo la kuruhusiwa hospital tu..Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…