Series (Special thread)

Series (Special thread)



Chagua moja mtu wangu
Screenshot_20240605-080625.jpg
Screenshot_20240605-080635.jpg
 
Uliyerecomend Red eye kongole kwako...

Huyu Richard anakuwaga serious sana, nilipomuona tu nikasema nikasema hiki chuma...
Kwenye The Strange nilimuelewa sana!
 
RED EYE
Wameimaliza vizuri sana.
Unaweza kujikuta kwenye matatizo ya kutengenezewa na bila msaada mkubwa unajikuta unaangamia kabisa
 
Ha ha ha Takamura wanamuita King of Perverts msumbufu Sana afu Mbabe sana.

Huwa napenda sana kusikikiza Kwa voice yao ya Kijapan ndio huwa naona napata kitu original.

English huwa naona kama sipati ile ladha maana inakuwa fake Sana.

Safi Mkuu. Leo ngoja nitembee kidogo na Hashira Training
Mkuu kwemaa Demon slayer umefikia episode ya ngapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom