Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndio ni spin off yake
Dah muendelee nayo tu sisi wengine tunapenda issue ambazo hazijachanganya mambo mengi yani kama ni misheni basi iwe na uhalisia wa yanayoendelea ktk jamii za wanadamu duniani. Ila eti farasi ana mabawa halafu mtu amadandia ndege ambae duniani hajawahi kuwepo hapana asee hizo endeleeni mazo tu
 
kumbe tupo wengi,
 
The dance 🐉
FB_IMG_1717069044727.jpg
 
Chagua yoyote mtu wangu

Screenshot_20240531-071140.jpg
Screenshot_20240531-071119.jpg
 
I hate you Cassano, kwanini hukuniambia kuwa Adan Canto (Arman Morales) kafariki this January jamani..?? Nimeumiaaaaaa, he was still young, 42 years..??🥹
😭😭😭😭Aisee mie nilikuwa naifatilia hii series yake afu hata sijui kumbe kafariki 😭😭😭😭😭😭 afu aliiitendea sana haki hii series yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom