Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20240523-091221.jpg

Chagua Moja
 
Nimezishusha tayari Mkuu. Shukrani Sana.

Aisee Makonouchi Ippo. Bonge moja la Manga. Nimeikubali Sana Mkuu.

Takamura San, Kimura San na Aoki san. Hawa jamaa ni vichaa sana aisee.
Binafsi anayenifanya nisiichoke ni Takamura😃

Voice uliweka ya kijapan au ulibaki na ile ile English

Tupo pamoja me ndo nimezimaliza hapa Demon slayer Mkuu
 
Ha ha ha Takamura wanamuita King of Perverts msumbufu Sana afu Mbabe sana.

Huwa napenda sana kusikikiza Kwa voice yao ya Kijapan ndio huwa naona napata kitu original.

English huwa naona kama sipati ile ladha maana inakuwa fake Sana.

Safi Mkuu. Leo ngoja nitembee kidogo na Hashira Training
 
Eeh ya kijapan ndo safi kaka

Endelea kaka uwe na weekend njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom