Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,136
- 95,861
HApo jumla Kuna episode sio chini ya 120 kwa season 3 tu,Kwa macho ya nyama ukiziangalia ni chache ila..
HApo jumla Kuna episode sio chini ya 120 kwa season 3 tu,Kwa macho ya nyama ukiziangalia ni chache ila..
Aliye na tv ni nani Sasa, 😂🤣Hata TV kwangu sina
Sasa zote hizo kaka muda natoa wapHApo jumla Kuna episode sio chini ya 120 kwa season 3 tu,
Wewe unayejua adi vipindiAliye na tv ni nani Sasa, 😂🤣
Ndani ya Mwezi tu, kitu kime Isha😆🤓, Tena hapo kivivu kabisa.Sasa zote hizo kaka muda natoa wap
Kuna kipindi tulikuwa na star times, nili angalia series 10 kwa siku, jila series ep 2-3 😆🤓Wewe unayejua adi vipindi
Weka link yake iwe ni 1080 nyuzi tuidownloadChuma kikali sana, 🔥🔥🔥
View attachment 2933218
Huyo sio muumini wa kushea link ananishangaza sana😚😚😚Weka link yake iwe ni 1080 nyuzi tuidownload
Anatuekea mapicha picha mengi sana bila link anazingua sana yaaniHuyo sio muumini wa kushea link ananishangaza sana😚😚😚
Link Iko wapi sasaPanga ime pigwa Sana Humu, hamna kulaza damu 🔥🔥🔥
View attachment 2933237
Anakwambie eti gugo ni ngumu kutumia? Yeye hawezi hiyo kaziLink Iko wapi sasa
Anazingua sana 😂😁😁Anakwambie eti gugo ni ngumu kutumia? Yeye hawezi hiyo kazi
Unajua kiispaniola?Selikavu, adriz, ukiona chuma kipo Amazon prime ujue kazi ya moto.
Hawa majamaa wana chuja sana kazi zao, mpaka waku kubali si mchezo.
View attachment 2933360
Hii nashusha ngoja nitoke lindo🤣Selikavu, adriz, ukiona chuma kipo Amazon prime ujue kazi ya moto.
Hawa majamaa wana chuja sana kazi zao, mpaka waku kubali si mchezo.
View attachment 2933360
Huyo ni kichina amigoUnajua kiispaniola?