Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,164
- 95,918
Series ya. Moto mno hiyo,Ona tulivyo hata hatuogopeshi 😁😁
Series ya. Moto mno hiyo,Ona tulivyo hata hatuogopeshi 😁😁
Jina la hiyo hujaliandikamjuba jina si Nime andika, Soma uta liona.
Link za movie na series za kichina tusha sema nenda drama cool au kiss asian
mjuba jina si Nime andika, Soma uta liona.
Link za movie na series za kichina tusha sema nenda drama cool au kiss asian
Jina si lipo kwenye Picha??, au ku google nacho kipengele 😆😃.Jina la hiyo hujaliandika
Nashindwa kuisaka View attachment 2931448
Ehhh, ambayo kwa kiingereza ni in the name of all godsAu ndio todos los numbres?
Ku google nacho kipengele 😁😁Jina si lipo kwenye Picha??, au ku google nacho kipengele 😆😃.
Andika in the name of all gods
Ila SI Kuna google lens??Ku google nacho kipengele 😁😁
Yanini yote hayo mkuu wewe mwaga link 😁😁Ila SI Kuna google lens??
Siwezi kazi hiyo mkuuYanini yote hayo mkuu wewe mwaga link 😁😁
Unakuwa the Mighty Guru 😅😅
Mkuu hii ni series or single movie?
Single movie kakaMkuu hii ni series or single movie?
Nadhani bado kidogo tu😃😆Unakuwa the Mighty Guru 😅😅
Acha tu, tunasubiri ep 7 tujue itakuaje, Master Chief kacharuka, Makee kajiongeza baada ya shingo yake kunusurikaView attachment 2929773
Tupo episode ya 6 chinga Intelligent businessman anasema tupo ya piliView attachment 2929776

Naunga mkono hoja imeishia patamu sana palee zimebaki siku 3 tupate ep ya 7 🔥🔥🔥Acha tu, tunasubiri ep 7 tujue itakuaje, Master Chief kacharuka, Makee kajiongeza baada ya shingo yake kunusurika![]()