Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,101
- 95,771
Sawa sawa, wewe ukiona jina una ruka na kazišš¤Hii nashusha ngoja nitoke lindoš¤£
Sawa sawa, wewe ukiona jina una ruka na kazišš¤Hii nashusha ngoja nitoke lindoš¤£
Dah brand matters š¤£Sawa sawa, wewe ukiona jina una ruka na kazišš¤
Naona Netflix nae ana Jitahidi kuleta kazi, Sena awe ana chuja bhanaDah brand matters š¤£
Shida yake ndo hiyo Me nimebakia HBONaona Netflix nae ana Jitahidi kuleta kazi, Sena awe ana chuja bhana
Kuna jamaa alikuwa na cable, ana sambaza kulikuwa na channel za hbo, ya movie ndo nili ipenda.Shida yake ndo hiyo Me nimebakia HBO
Hii inatoka April 19Hellow everyone this is so amazing mtaalam Vincenzo Jr naomba uangalie hiki kipande unaimbie muvi inatoka lini?
Ikitoka kama utakumbuka umwage link hapaHii inatoka April 19
Naam usiogope kaka kama kawaida itakuwepo hapaIkitoka kama utakumbuka umwage link hapa
Inaitwaje hiiMasta John ngojea tuone EP ya 7 itakuwaje šš¤£
View attachment 2933651
Kwahiyo jina la muvi linaitwa chuma cha ndugu liamChuma Cha ndugu Liam Hemsworth na Luke Hemsworth . š„ š„
View attachment 2933763
HaloInaitwaje hii
Pia ile parish 2024 ikitoka usisahauNaam usiogope kaka kama kawaida itakuwepo hapa
šššš Anazingua huyu analeta kazi ambayo tumeshacheki tuna mwezi sasaKwahiyo jina la muvi linaitwa chuma cha ndugu liam