Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,858
Wamezingua sana yaaniSijapenda walivyomua Vannik
Wamezingua sana yaaniSijapenda walivyomua Vannik
Kabisa kaka movie na series ni vitu muhimu sanaPole sana kaka tuendelee na kausha damu yetu
Episode ya 7 si ndo mwisho??Wamezingua sana yaani
Kwel kaka maan maisha mafupi hayaKabisa kaka movie na series ni vitu muhimu sana
Kabisa kaka 🤣😁Kwel kaka maan maisha mafupi haya
Mwisho 8 kaka 😁🤣Episode ya 7 si ndo mwisho??
Naona inaisha na sielewi🤣Mwisho 8 kaka 😁🤣
Vipi wange kuua wewe😃😂Sijapenda walivyomua Vannik
Kula nyama au ?Dah Kaka pombe sinywi, ungesema ugonjwa wangu wa kula Sana 😆
Link ya damselView attachment 2929967
Singo za Leo chagua moja
Ya mwaka gani? Wela link hapa nitembee nayo harakaKama uli ipenda eagl strike, echo 3, basi hiki kisanga ni noma na nusu.
Aisee chuma ni ya Moto sana, Franky Samuel, Living Pablo, adriz, Selikavu, Dream Queen
View attachment 2931231
Msosi bhana😃😂Kula nyama au ?
2018, link cheki kwenye site zako pendwa.Ya mwaka gani? Wela link hapa nitembee nayo haraka
Fresh tu me sio Spartan 😅😅😅Vipi wange kuua wewe😃😂
Afadhali leo sio wachina🤣Kama uli ipenda eagl strike, echo 3, basi hiki kisanga ni noma na nusu.
Aisee chuma ni ya Moto sana, Franky Samuel, Living Pablo, adriz, Selikavu, Dream Queen
View attachment 2931231
Wachina nime tulia, nasubiri wasoger kidogo.Afadhali leo sio wachina🤣
Ona tulivyo hata hatuogopeshi 😁😁Wachina nime tulia, nasubiri wasoger kidogo.
Kuna hii ni 🔥🔥🔥, sema Kuna legend of shengli pia 😂😃View attachment 2931319
Oya mbona kama muvi la kazi naomba jina lake na link ikiwezekana 😁😁Labda my name is loh kiwaan, mi Niko bize na hizi
View attachment 2926922
mjuba jina si Nime andika, Soma uta liona.Oya mbona kama muvi la kazi naomba jina lake na link ikiwezekana 😁😁