Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,249
Wewe utengwe kabisa unazipiga kama pombe na mlevi.
Dah Kaka pombe sinywi, ungesema ugonjwa wangu wa kula Sana šWewe utengwe kabisa unazipiga kama pombe na mlevi.
The mighty himself...šššunaangalia serious
Kaka namalizia warrior baek dong so, naingia the brave ya kizungu šThe mighty himself...šššunaangalia serious
mshamba_hachekwi chuma Cha gus fring hikooKama hajaangalia hii mpaka sasa, unafanya makosa makubwa sana!View attachment 2929945
Endelea kuzipangaššš„š„š„Kaka namalizia warrior baek dong so, naingia the brave ya kizungu š
š¤£šEndelea kuzipangaššš„š„š„
Nashusha kipande cha 4 hapa baadae nikiangalieKama hajaangalia hii mpaka sasa, unafanya makosa makubwa sana!View attachment 2929945
Baadae nitataipakuaKama hajaangalia hii mpaka sasa, unafanya makosa makubwa sana!View attachment 2929945
Owa kaka umemaliza Unlimited mbona kama umelud Postpaid šššNashusha kipande cha 4 hapa baadae nikiangalieView attachment 2929949
Nafuatilia hii...š¤š„View attachment 2929968
Halo season 2 episode 7 is scheduled to be released on Paramount+ on Thursday, March 14
Mwezi huu sijalipia kaka imenibidi nirudi zangu tu postpaid kifurushi changu kimeisha majuzi kati apoOwa kaka umemaliza Unlimited mbona kama umelud Postpaid ššš
š„š„š„Kalii sana kaka imeishia patamu sana pale episode ya 6 ngoja tuone ya 7 itakuwajeNafuatilia hii...š¤š„
Pole sana kaka tuendelee na kausha damu yetuMwezi huu sijalipia kaka imenibidi nirudi zangu tu postpaid kifurushi changu kimeisha majuzi kati apo
Sijapenda walivyomua Vannikš„š„š„Kalii sana kaka imeishia patamu sana pale episode ya 6 ngoja tuone ya 7 itakuwaje