Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kazi za leo chagua Moja ishi nayo
Screenshot_20240306-200324.jpg
 
Kumbe the cleaning lady iliendelea na hatuambizani? Nadhani niliishia season1.

Naomba pia maelezo juu ya hiyo NCIS INAWEZA KUNIPOTEZEA MUDA WANGU KUIFUATILIA? INA YALE MAMBI YA AKINA "jackbawa" 😁
Yamo ni nzuri pia the cleaning lady now ipo season 3 kaka 😂😁😁😂
 
Leta dondoo za hiyo tracker
Ni series ya kivita yenye package ya crime ndani yake hapa utakutana na Colter Shaw anasafiri nchi nzima katika RV yake ya shule ya zamani, kusaidia polisi na raia wa kibinafsi kutatua uhalifu na kupata watu waliopotea - hadi kesi yake ya hivi punde.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom