Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,287
- 79,928
Kesho ngoja mfungwe🤣😂😁😁We bana wee pombe tunazisingiziaga tu ni mamipira haya
Kesho ngoja mfungwe🤣😂😁😁We bana wee pombe tunazisingiziaga tu ni mamipira haya
Kesho hatuchezi tunacheza leoKesho ngoja mfungwe🤣😂😁😁
Haya yote kayaleta Ali Ali kaka 😂😂Kesho hatuchezi tunacheza leo
Inaonekana level yako ya kuchanganyikiwa ni kubwa afadhali yangu
Scars hapa sasa nikiisifia mimi mwenyewe na nikiziponda homeland 😁😁😁 tatizo ulikuwa bize na misafara ya viongozi huko majuuEpisode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.
Unanishangaza unapo ikubali homeland na banshee halafu night agent unaisagia kunguni
Kali sana watu kutoka sayari nyingine wanakuja kutawalaAliyeicheki Dune atuambie imekaaje, nisije nikachoma MB zangu.
Mfano zipi?Shida Mna kariri, wachina, wakorea Wana kazi za moto mnoo.
👉Hadi zinauza soko la nje kwa kiwango kikubwa
Na mimi nimeanza kuikubaliGriselda pia iko poa sana wakuu
Kwa wachina kaangalie arrow on the bow string 🔥.Mfano zipi?
Bi mkubwa mpambanaji sana aiseeNa mimi nimeanza kuikubali
link pseGriselda pia iko poa sana wakuu
Pole dear ndio naona quoteNi nzuri?
Unapenda za aina gani?Nitajie series kali na mim
Mi kuna hii nimeipenda
The couple next door
Wilderness
Web imekaa kizamani sana hata mie ilinishindaWeb huwa naona kazi sana
Nataka niianze hiyo Last Airbender, ni nzuri???Halo hii mpya kama ya kwanza uliipenda na hii itafute na Kuna Avatar the last Airbender hii nayo ni mpya na Kuna wayward pines hiii ni ya zamani niongeza pita na yellow jacket ipo season 2 now nayo ni mpya na Kuna shogun hii mpya pia
Hasa Wakorea hua nawaangaliaShida Mna kariri, wachina, wakorea Wana kazi za moto mnoo.
Hadi zinauza soko la nje kwa kiwango kikubwa
Tafuta single movie ya kikorea, Ina itwa suspect ni 🔥🔥🔥.Hasa Wakorea hua nawaangalia
Kuna huyu jamaa anaitwa Ma Dong-seok ngumi zake aisee,
Movie kama Round Up na Badland Hunters zimenikosha
Ni ya kawaida ila kama uliipenda anime yake ichekiNataka niianze hiyo Last Airbender, ni nzuri???