Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,278
- 79,883
😁 si uliisema yeye ndio brandon starkNimesema wapi alikuwa kwenye wheel chair mzee ?!.
We ushazoea ki congo na kilingala ehh🤔🤣
😁 si uliisema yeye ndio brandon starkNimesema wapi alikuwa kwenye wheel chair mzee ?!.
We ushazoea ki congo na kilingala ehh🤔🤣
Niletee ushahidi Kuna 10 ya chap😁 si uliisema yeye ndio brandon stark
Yes. Si ndio wale madogo walikuwa wanamfukuzia yule three eyed raven sijui na mti flani hivi?Nisha mjua, si alikuwa ana weza kuona mambo ndotoni.
Ndo yeye, nime ishia season 5Yes. Si ndio wale madogo walikuwa wanamfukuzia yule three eyed raven sijui na mti flani hivi?
Huyo dogo alikuwa na kadada kake pia wakiongozana na Bran. Nadhani baadae walikuja kulipata lile libaubsa Hodor likawa linaongozana nao, kama sikoseiWe Jamaa ni mbishi, walikuwa wawili, Brandon ye ana mambo yanayo tokea mbele bhana.
Dogo si aliuliwa na Yale majamaa kipindi Wana ingia, kwenye ule mti.
Mimi nilimaliza yote. Sijataka tu kuangalia spinoffs kwa sababu nimesoma ni prequel.Ndo yeye, nime ishia season 5
Ehh Hodor ali Anza kuongozana na brand toka kule home.Huyo dogo alikuwa na kadada kake pia wakiongozana na Bran. Nadhani baadae walikuja kulipata lile libaubsa Hodor likawa linaongozana nao, kama sikosei
Aaah sawa.Ehh Hodor ali Anza kuongozana na brand toka kule home.
Sema yule dogo ali kufa.
season 2 kali?Jamani wangapi wanaagalia HALO?
Master Chief kabondwa hadi maji akaita mma 🥲🤣
Yes zipo ep 5 mpaka sasaseason 2 kali?
Huu mzigo nimeumaliza ni mkaliisanasijaimaliza, ila kali sana
View attachment 2920380
Kalii sana 🔥
Oya Baadae,Kalii sana 🔥
🤣Oya Baadae,