Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,019
- 46,839
Ya kazi niliowahi kuiona ni IRISShida Mna kariri, wachina, wakorea Wana kazi za moto mnoo.
👉Hadi zinauza soko la nje kwa kiwango kikubwa
Anazo igiza jackchan na zile za jet li na yule mzee wa ong bak wa thailand iko uwasi na bonge fulani la kichina linaubonda mkono ni hao tu. Wemgine sijaona kabisa muvi ya kunishawishi