Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,048
- 46,914
😂😁😁Mkuu the Americans umefikia wapi?Niko mbali na WiFi hiyo link nimeiogopa kuigusa kuhofia meseji ya asilimia 75 ya matumizi ya bando
Ila unaonekana unapenda action maana nikicheki kwenye cover ya hiyo link naona mabinduki kwa nyuma ya kuzidi
Niliishia season 2 sikumbuki exactly ni episode ya ngapi ila nahisi ni episode za katikati😂😁😁Mkuu the Americans umefikia wapi?
Ndio maana nasema hutoipendaNdio nimetoka kuimaliza hii trailer yako.
Naona bado Mkuu upo entertained na mademu mastering.
Demu anagawa kisago kwa wanaume kiasi hicho sijapenda.
Aisee hiyo movie ilikuwa na maudhui mazuri ila wamenikosa hapo walipomuweka demu kama ndio starlingNdio maana nasema hutoipenda
😁😁😁
Berlins station wakati mwingini inatia uvivu ngoja nami nimalizane na reacher kwanza.Niliishia season 2 sikumbuki exactly ni episode ya ngapi ila nahisi ni episode za katikati
Chanzo cha kui dump ilikuja baada ya kuangalia Berlin. Berlin ilinifanya nianze kuiona The Americans ni series ambayo imepooza sana
Saizi nipo kwenye Designated Survivor s02 e015
Nataka nimalize hiyo nirudi kuicheki Reacher s02
Baada ya hapo ntaangalia upepo unapoelekea japo recommendations za washkaji wameniambia niicheki Berlin Station ambayo niliangalia episode 3 za mwanzo sikuona makeke yake nikaibwaga.
Designated Survivor ina season 3Berlins station wakati mwingini inatia uvivu ngoja nami nimalizane na reacher kwanza.
Halafu hiyo d. Survivor ina seasons ngapi?
😂😂😁🤣Niliishia season 2 sikumbuki exactly ni episode ya ngapi ila nahisi ni episode za katikati
Chanzo cha kui dump ilikuja baada ya kuangalia Berlin. Berlin ilinifanya nianze kuiona The Americans ni series ambayo imepooza sana
Saizi nipo kwenye Designated Survivor s02 e015
Nataka nimalize hiyo nirudi kuicheki Reacher s02
Baada ya hapo ntaangalia upepo unapoelekea japo recommendations za washkaji wameniambia niicheki Berlin Station ambayo niliangalia episode 3 za mwanzo sikuona makeke yake nikaibwaga.
Nimeipenda plot yake inaonesha ni nzuri sana
Mapenzi yana nguvu sana mkuuIla The Bureau wameniangusha sana aise. Yani jamaa anaisaliti nchi yake kisa yule dem aliekutana nae damascus!!??
Jina lipo hapo hapo linaonelana.Hii inaitwaje
Jina lipo hapo hapo linaonelana.Hii inaitwaje
Mtaalam naomba link ya prison break season 5 yenye mgawanyiko wa episodes natafuta kuanzia Ep6 na kuendeleaDesignated Survivor ina season 3
Ni nzuri sana kama unapenda maswala ya intel, cyber crime na action.
Berlin station naiweka mwishoni kwenye list yangu ya series ambazo naziwekea ratiba za kuziangalia
Mtaalam naomba link ya prison break season 5 yenye mgawanyiko wa episodes natafuta kuanzia Ep6 na kuendeleaMapenzi yana nguvu sana mkuu
Unatumia nini ku-download?Mtaalam naomba link ya prison break season 5 yenye mgawanyiko wa episodes natafuta kuanzia Ep6 na kuendelea