MZEE NGAO 08
Member
- Mar 29, 2023
- 48
- 31
wakuu kwema embu nipen information za kushusha movie telegram
shukran
shukran
Ok endelea kuicheki lakini ikifika mwishoni itanasa ila sio saanaNimeangamiza MB 900+ HALAFU MWISHONI HAITAKI KUMALIZA INANIANDIKIA unknown 🙁🙁😮😮😑😑View attachment 2877811
@Legnascinema. Jaribu ku search hilo Jina utaona linksSawa mkuu.
Hii channel napateje mkuu
Upo mwingi sanaMkono?
Mkono?
todaytvseries.one
Hii ni series au movie? inatwaje?Tuwe wakweli. Hii series mtunzi wake amejua kuchambua issue ya mapenzi in a deepest way. Huku una enjoy heist, wakati huo huo una pigwa na kitu kizito kwenye swala la mapenzi.
Imagine dogo alidatishwa na jasho la jamaa ikabidi akae na taulo chini ya mto.
Mzee wa watu akaunganisha dots akajua mkewe alikuwa anachepuka na kama hukumbuki haya maneno mawili
trivial love basi ulikuwa unaicheki hiyo series uliwa vyombo au na usingizi 😁
Halafu the boss mwenyewe hapo kwenye picha kayatumia mapenzi kufanikisha mission, kuharibu mahusiano ya mtu, na kumtia ndanizee wa auction
Scars
Hapo jibu mbona lipo?Hii ni series au movie? inatwaje?
Mku mzigo unaitwaje huu?Spain Kuna wadada wazuri sana 🥰View attachment 2862646
Nimeona inaitwa (BOSS) jina lipo too general nkaona niulize vizuriHapo jibu mbona lipo?
Berlin inaitwa ni series.Bo
Nimeona inaitwa (BOSS) jina lipo too general nkaona niulize vizuri
BerlinMku mzigo unaitwaje huu?
Pakua old model picha zinafungua vizur kbisa...hii new model chengaWaungwana mkiweka picha andikeni na jina, sie wa App picha hazifunguki tunapitwa na mengi
Naipataje old model?Pakua old model picha zinafungua vizur kbisa...hii new model chenga
Usidowwnload kupitia play store, ingia google download jamiiforum apk itakuletea toleo la sasa na matoleo ya nyuma mpaka 2020 huko utachagua mwenyewe inayokufaaNaipataje old model?
Nijuze