Sijawah ipenda hii series..sijui kwa nini. Nilianza kuiangalia kwa hype ya watu ila nikashindwa kuendelea mapema kabisaStar kufa sio mwisho mbaya tatizo umezoea kuona protagonist anakuwa hero siku zote. Kumbuka kuna kitu kinaitwa
Tragedy Ending. Ndio hiyo sasa 😁😁