Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,168
- 123,299
I test kabisa zingine huwa zinazinguagaKaka zimenunua data ya Airtel
Ikigoma niambie nikuangalizie nyingine
I test kabisa zingine huwa zinazinguagaKaka zimenunua data ya Airtel
Hii ipo njema kakaI test kabisa zingine huwa zinazinguaga
Ikigoma niambie nikuangalizie nyingine
Silent night.... 🗣🗣🗣🗣
Ni kama drop box au dirive?
YeahNi kama drop box au dirive?
Kalii sanaSilent night.... 🗣🗣🗣🗣
Haya dad's revenge kwenye hii muvi inaitwa silent night december mosi tuisubiri. Angalia trailer yake hapa
View: https://youtu.be/mjfawUNjdSQ?si=alufSBeMJdw_fZUp
Kabisa ni nzuri sana kaka hiiCharles kilian kumbe imeshatoka? Niliizungumzia hapa
Iko vizuri mkuu?Basi itakufaa ipakue
NdioIko vizuri mkuu?
Charles kilian Napenda sana series zenye story nzuri yaani zenye akili au matukio ambayo yapo twisted ndio maana napenda Lupin, Prison break, Banshee, The company you keep, The 100 n.kUnapenda series za aina Gani ?
Itafute alias na justified kaka ni nzuri sanaCharles kilian Napenda sana series zenye story nzuri yaani zenye akili au matukio ambayo yapo twisted ndio maana napenda Lupin, Prison break, Banshee, The company you keep, The 100 n.k
Hili tambara kalii sana
Ngoja tuone tusitoe credit kablaHili tambara kalii sana
😂🤣😁😁 KabisaNgoja tuone tusitoe credit kabla