Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,770
- 131,156
Director alikosea episode ya mwanzo kutuaminisha audience kuwa Brody ndio starlingHomeland walisema brody baada ya kufa itakuwa tamu lakini wapi hamna kitu
Mwisho wa siku wakatuwekea Gigi Money muda wote ye anagawa utamu tu kwa yeyote atayemsogelea hadi watoto.