Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,307
- 47,814
Dubbed nazisaka sana wewe unatumia mbinu gani kuzipata. Kuna series kali sana ambazo sio za waa English huwa nashindwa kuziangalia kwa sababu sipendi kupambana na subtlitesKingine cha ziada ni "dubbed"
Nakuwa na option ya kuweka sauti ya lugha asili au iliyokuwa transformed kwenye kiingereza