Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,153
- 123,214
Hii series nimeitafuta kwenye torrent zote popular lakini nimekosa ambayo ina active trackersBila shaka ndio hii? Ina revenge ndani yake?View attachment 2808208
Hata nilipoweka new trackers bado iligoma ku download.
Moja ya kitu ambacho kinaniboa sana kwenye uTorrent na kuikumbuka IDM