Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,949
- 46,547
Yanajiri yapi humo?View attachment 2809737
Kuna mtu kashawahi kuicheki hii ?? Kama bado itafute
Yanajiri yapi humo?View attachment 2809737
Kuna mtu kashawahi kuicheki hii ?? Kama bado itafute
Ni action kakaYanajiri yapi humo?
Huu mzigo ninao kwa pc
Huu mzigo ninao kwa pc
30 comedasNaomba series yenye maudhui kama ya Wheel of time, Merlin, seeker. Adventure kiujumla
Inaitwaje ni movie au series?Hii kazi sio powaView attachment 2810941
Ni series inaitwa 10 monedasInaitwaje ni movie au series?
Inahusiana na nini? Nipe kwa ufupiNi series inaitwa 10 comedas
Father Vergara ni exorcist - Hawa ni wale ambao wanatibu watu wanaosumbuliwa na pepo na nguvu za giza. Sasa huyu Father alikua exiled kuna vitu vilitokea!Inahusiana na nini? Nipe kwa ufupi
Story yake ipo poa nimeipenda shukrani mkuuFather Vergara ni exorcist - Hawa ni wale ambao wanatibu watu wanaosumbuliwa na pepo na nguvu za giza. Sasa huyu Father alikua exiled kuna vitu vilitokea!
Akapelekwa huko ndani ndaani katika kamji kamchongo, akiwa huko kuna matukio ya ajabu yanaanza kutokea....
Katika kuanza kufanya utafiti anagundua kuna mpango wa kihuni ambao unasukwa!
Tena huo mpango unahusishwa na zile sarafu za silva 30 alizopewa Yuda Eskariot kumsaliti Yesu, sasa inasemekana kuna moja ipo ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mabaya....
wapi pa kuishushaHii kazi sio powaView attachment 2810941
THE BOYS mwakani❤️
Ni Youtuber mmoja ndio aliyeniponzaNilikwambia kaka hiyo ni comedy 🤣🤣🤣🤣😁😁
Season 2 ishatoka?Kama bado haujaangalia itafute View attachment 2812729