Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kaka zipo tano izo inaanza casino royale inafata quantum of solace inakuja skyfall inakuja Spectre alafu ya mwisho ni no time to die

Hizi ni zile ambazo Daniel Craig ndo 007, but franchise ya JB ziko nyingi kinoma mm zangu the best ni octopussy na coming with love from russia
 
Habari humu ndani ,naomba kuuliza hv VIKINGS ya Ragnar ndio imeishia ile season 6 ?

Nashindwa kuelewa maana Kuna mahala nimeona kuna Series inaitwa VIKING VALHALLA je hii ni muendelezo wake ama Nini?
 
Habari humu ndani ,naomba kuuliza hv VIKINGS ya Ragnar ndio imeishia ile season 6 ?

Nashindwa kuelewa maana Kuna mahala nimeona kuna Series inaitwa VIKING VALHALLA je hii ni muendelezo wake ama Nini?
Yes, Original Vikings iliishia season 6,

Viking Valhala sio muendelezo wa Viking ya Ragnar, inaonesha Valhala imetokea miaka 100 baada ya akina Ragnar, ina story yake na mambo yake tofauti.....

Iangalie nayo pia, ni nzuri sana kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom