Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,006
- 46,761
Weka link ya dual audio hapaKaka dubbed yake ipo hii kaka
Weka link ya dual audio hapaKaka dubbed yake ipo hii kaka
Weka link ya dual audio hapa
Nami nimepunguza morale ya kuendelea kuitazama zaidi kwasababu ya hicho hicho.Kuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Hii ni ya mwaka gani?View attachment 2768893
Itafuteni kwa wanao penda ujasusi ukachero
Hii series ilimaliza.sana muda wangu.Tupo season ya 10
View attachment 2769924
Hii nimeishusha jana niliiona ipo kwenye suggestions ya most recommendedImetoka hd leo nenda kaaangalie kalii sana kuna risasi mfululu sana
View attachment 2770391
Na hii pia nimeiona kwenye recommended lakini niksipita.Hd yake imetoka leoView attachment 2770445
Safi sanaInatoka leo View attachment 2772154
Nimeiona Tulsa King hapo.... Sylvester a.k.a Rambo muhuni sana yule babuSafi sana
Hii tayari ipo kwenye list mpaka asubuhi tayari itakuwa ishamaliza.
View attachment 2774075
Afu ndaanza nayo
naisubiri season 2 kwa hamu.
Ni muendelezo kakaNa hii pia nimeiona kwenye recommended lakini niksipita.
Ila kinacho nichanganya ni kywa nakumbuka The Nun niliwahi kuiangalia miaka 4 iliyopita.
Sasa hii ya 2023 sijajua ni muendelezo au ni nini, ila hata cover naona kama ni ileile.
Ya 2019Hii ni ya mwaka gani?
Ni nzuri sanaHii series ilimaliza.sana muda wangu.
Ina addiction mbaya sana
HII KITU NAISUBIRIA SANA.Dada unaijua from kama ujaicheki itafute ina season 2 tu ya 3 inakuja mwakani mwezi 3View attachment 2767526
Wakorea mafundi sana
My sister
Uko poa dada yangu
Am good.. how is you?Uko poa dada yangu
Nipo fresh sanaAm good.. how is you?