Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,067
- 95,646
Kali Sana, ichekiNeno vampire lilinikimbiza sikutamani kuifuatilia. Ilinikuta masomoni enzi series zimeshamiri watu wanakaa laibrari na laptops zao kuangalia
Kali Sana, ichekiNeno vampire lilinikimbiza sikutamani kuifuatilia. Ilinikuta masomoni enzi series zimeshamiri watu wanakaa laibrari na laptops zao kuangalia
hizi dawa zahitaji kutolewa na daktari baada ya uchunguzi, usimshauri mwenzio hivi aje kuua figo zake bureUwe una tumia xsone dawa ya macho, + pedinilisone ya vidonge.
Usifanye hivyo bila vipimo na kuandikiwa na Dr, utaua macho zaid na figoAsante kaka ntaanza kutumia
Nilipima kakaUsifanye hivyo bila vipimo na kuandikiwa na Dr, utaua macho zaid na figo
tramadol ina addiction, pse meza dawa baada ya kupima na kushauriwa na DrSema tramadal mbona zinanipa nguvu sanaleo nimemkamata mke wangu hadi kachelewa kwenda kariakoo hadi kaniambia hiv unaumwa we au unani igizia
Tulia mzeee-,hizi dawa zahitaji kutolewa na daktari baada ya uchunguzi, usimshauri mwenzio hivi aje kuua figo zake bure
Nimeziachatramadol ina addiction, pse meza dawa baada ya kupima na kushauriwa na Dr
No offense na sikutaka kuingia hili bwana Intelligent businessman but this is non ethical, you cannot prescribe any meds in front of public forums kama humu Jf.Hivyo vIdonda nili kwambia meza, tramadol, omaplazole, amoxilin na magnesium ya maji.
👉Uta kaa fresh within 2 days bro
Shea muvi/series unayo ona kali mambo mengine achana nayoIAM not dealing with a fool, so I just observe your action as a stool.
👉No room for an attention seeker
Shea muvi ama series unayo ona ni kali mengine achana nayoNo offense na sikutaka kuingia hili bwana Intelligent businessman but this is non ethical, you cannot prescribe any meds in front of public forums kama humu Jf.
At the same time, sio kila mtu atapata relief za hizo dawa..
Nimemaliza, napokea matusi yoyote from now on!😁
Dream Queen, Mr Q, Charles kilian, Hziyech22, Franky Samuel chuma kina kuja hichoo 10/11/2023Shea muvi/series unayo ona kali mambo mengine achana nayo
Ulipaswa uwa-confront hao walioleta mada hizo.Shea muvi ama series unayo ona ni kali mengine achana nayo
Dream Queen, Mr Q, Charles kilian, Hziyech22, Franky Samuel chuma kina kuja hichoo
View attachment 2769868
Hii kalii sana hawa yash raj wanaletaga movie kalii sanaDream Queen, Mr Q, Charles kilian, Hziyech22, Franky Samuel chuma kina kuja hichoo 10/11/2023
View attachment 2769868
😂😂IAM not dealing with a fool, so I just observe your action as a stool.
👉No room for an attention seeker
Hii hapa itafute ni 🔥🔥Hii kalii sana hawa yash raj wanaletaga movie kalii sana