Series (Special thread)

Dah jomba ana furahisha Sana, sija ona kazi mbovu.
πŸ‘‰Ni vile genre au ujumbe hauja mvutia au sio kwa ajili ya mtu fulani.
Huyu anatafutaga mtu atukanane nae tu huyu sio mzima kabisa mshamba sana anaonekana sio mzima wa akili na inaonekana hata series na movie anazo tizama itakuwa za kutafsiriwa na ma dj wa karikoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…