Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Hivi huyu mtangazaji katoka kwenye kigodoro au? Ni aibu sanaaaa ni zaudi ya kituko kweli fani imevamiwa hadi mwenyewe anaona aibu kweli hata kama kashtukizwa hata yy kuenda huko hakujiandaa?View attachment 194561
Kuvaa avae yeye aibu uone wewe lol (just kidding)
na sauti yake ilivyo ngumu sasa...... hapo ndio kavunja kabati ujue